1. Utangulizi
Karibu StoryTamu. Sera hii inaeleza jinsi tunavyokusanya, kutumia, na kulinda taarifa zako unapotumia app yetu. Kwa kutumia StoryTamu, unakubali masharti ya sera hii.
2. Taarifa Tunazokusanya
Tunakusanya taarifa zifuatazo:
- Taarifa za usajili: Jina, username, email, namba ya simu, tarehe ya kuzaliwa
- Taarifa za malipo: Namba ya simu na kiasi (kupitia SonicPesa)
- Maudhui yako: Comments, likes, bookmarks
- Taarifa za kifaa: FCM token kwa notifications
- Taarifa za matumizi: Stories ulizosoma, muda wa kutumia app
3. Jinsi Tunavyotumia Taarifa
- Kukupa huduma za app (kusoma hadithi, malipo)
- Kutuma notifications muhimu
- Kuboresha huduma zetu
- Kuzuia matumizi mabaya na ulaghai
- Kukusaidia kurejesha account yako
4. Kushiriki Taarifa
Hatutauza data yako. Tunashiriki tu na:
- SonicPesa — kwa kuchakata malipo yako
- Firebase (Google) — kwa kutuma notifications
- Mamlaka — kama inahitajika kwa mujibu wa sheria
5. Usalama wa Data
Tunatumia encryption na hatua za usalama za viwango vya tasnia kulinda data yako. Password yako imehifadhiwa kwa bcrypt encryption na hatuwezi kuiona.
6. Haki Zako
- Kuona data yako
- Kubadilisha data yako
- Kufuta account yako — bofya hapa
- Kupinga matumizi ya data yako
7. Watoto
App yetu haikusudiwi kwa watoto chini ya miaka 13. Hatukusanyi data kwa makusudi kutoka kwa watoto.
8. Mabadiliko ya Sera
Tunaweza kubadilisha sera hii wakati wowote. Mabadiliko yataanza kutumika mara moja baada ya kuwekwa kwenye ukurasa huu.
9. Mawasiliano
Kwa maswali kuhusu sera hii:
- Email: storytamu.org@gmail.com
- Website: storytamu.com