Njia Mbili za Kufuta Account
Unaweza kufuta account yako ya StoryTamu kwa njia mbili. Chagua inayokufaa:
Njia 1: Kupitia App (Inashauriwa)
Hatua 1: Fungua app ya StoryTamu
Hatua 2: Nenda kwenye Settings (kona ya juu kulia)
Hatua 3: Chini kabisa, bonyeza "Futa Account Yangu"
Hatua 4: Weka password yako na thibitisha
Hatua 2: Nenda kwenye Settings (kona ya juu kulia)
Hatua 3: Chini kabisa, bonyeza "Futa Account Yangu"
Hatua 4: Weka password yako na thibitisha
Njia 2: Kupitia Email
Tuma email kwa storytamu.org@gmail.com ukiwa na taarifa zifuatazo:
✓ Jina lako kamili
✓ Namba ya simu uliyosajili
✓ Username yako
✓ Sababu ya kufuta (hiari)
✓ Namba ya simu uliyosajili
✓ Username yako
✓ Sababu ya kufuta (hiari)
Data Gani Inafutwa?
- Profile yako (jina, email, namba, picha)
- Comments zako zote
- Likes na Bookmarks
- Historia ya kusoma
- Historia ya malipo (inahifadhiwa kwa mujibu wa sheria kwa miaka 5)
- Rekodi za kuzuia (kama zilikuwepo)
Muda wa Kufuta
⚠️ MUHIMU: Account yako itafutwa kabisa
ndani ya siku 30 baada ya ombi lako.
Wakati huu, unaweza kughairi ombi kwa
kuingia tena na kubonyeza "Ghairi Kufuta".
Kabla ya Kufuta — Fikiria!
- Kama una kifurushi active, hutarejeshewa pesa
- Hutaweza kurejesha account yako baada ya siku 30
- Comments zako zote zitaondolewa
- Bookmarks zako zitapotea
- Unaweza kuunda account mpya baadaye (kwa namba tofauti)
Maswali?
Kama una swali kuhusu kufuta account, wasiliana nasi kabla ya kufuta:
- Email: storytamu.org@gmail.com
- Website: ukurasa wa mawasiliano