📄 Masharti na Vigezo

Imesasishwa: 03/10/2026

1. Kukubali Masharti

Kwa kutumia app ya StoryTamu, unakubali masharti yote yaliyoelezwa hapa. Kama hukubali, tafadhali usitumie app yetu.

2. Umri wa Mtumiaji

Lazima uwe na umri wa miaka 13 au zaidi kutumia StoryTamu. Kama una chini ya miaka 13, unahitaji ridhaa ya mzazi au mlezi.

3. Account Yako

4. Maudhui ya App

5. Maadili ya Matumizi

Hauruhusiwi:

6. Kifurushi (Subscription)

7. Kuzuia Account

Tuna haki ya kuzuia au kufuta account yako kama ukivunja masharti haya bila notisi ya awali.

8. Kutokuwa na Dhamana

App inatolewa "kama ilivyo". Hatutoi dhamana yoyote kuhusu uendelevu, usahihi, au kufaa kwa matumizi maalum.

9. Mabadiliko ya Masharti

Tunaweza kubadilisha masharti haya wakati wowote. Kuendelea kutumia app baada ya mabadiliko inamaanisha unakubali masharti mapya.

10. Sheria Zinazotumika

Masharti haya yanatawaliwa na sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

11. Mawasiliano

Kwa maswali kuhusu masharti haya:

← Rudi Nyumbani