Website, app, na features zetu
StoryTamu ni jukwaa la kusoma hadithi tamu za Kiswahili. Tunatoa hadithi za aina mbalimbali — mapenzi, ujasusi, maisha, vituko, horror na nyingine nyingi. Lengo letu ni kufanya kusoma kuwa rahisi, rahisi kufikia, na kufurahisha kwa wasomaji wote wa Kiswahili duniani.
Tunatoa huduma zetu kwa njia mbili: website na app ya Android. Kila mmoja una uzoefu wake — angalia tofauti hapa chini:
App yetu ya Android ina features nyingi za kufanya kusoma kuwa raha zaidi:
Uzoefu safi wa kusoma
Soma hadithi bila mtandao
Pata taarifa hadithi mpya
Hifadhi hadithi unazopenda
Shiriki maoni na wengine
Fungua episodes zote
Soma usiku bila kuchosha
Badili picha na maelezo
Tunaendelea kuboresha app yetu kila siku. Hizi ni features mpya zilizowekwa hivi karibuni:
App inafunguka haraka mara 2
WhatsApp, Facebook, Instagram
Tafuta hadithi unayotaka
Ubunifu wa kisasa
Data yako inalindwa
Hadithi zinapakiwa haraka
Pata uzoefu bora wa kusoma — bila matangazo, offline, na features nyingi
Download kwenye Play Store